KITUO CHA WAFANYABIASHARA WANAOFIKIA MALENGO
Michael Business Hub: Hapa tunakuza **akili, biashara, na kipato** kwa pamoja. Tunabadilisha ndoto za ujasiriamali kuwa mifumo halisi ya mafanikio na uhuru wa muda.
Anza Safari Yako Leo!Michaael Business Hub ni zaidi ya mafunzo — ni **harakati ya kifikra**. Tunakuongoza hatua kwa hatua kutoka *“kuota kuwa na biashara”* hadi kuitengeneza, kuisajili, na kuikuza kwa njia na Mifumo ya kisasa. Lengo letu ni kukuwezesha kufikia uhuru wa kifedha na muda.
Tunakupa ramani kamili ya jinsi biashara inavyofanya kazi kwa uhalisia — kuanzia mfumo wa mauzo, branding, marketing, business model, hadi usajili rasmi.
Utajiunga na jamii ya watu wenye mtazamo chanya, wanaokua na kufanikiwa, wakibadilishana uzoefu na fursa za Live Retreats & Networking Events.
"Walianza wakiwa wamechanganyikiwa, hawakujua waanzie wapi, lakini kupitia mfumo wetu, walijifunza jinsi biashara inavyofanya kazi kwa uhalisia — kuanzia mfumo wa mauzo, branding, marketing, hadi usajili rasmi. Sasa, hawa si tu wajasiriamali — ni watu wanaojua kujenga biashara zenye mwelekeo."
Amua kati ya Freedom, Growth, au Unstopable.
Lipa kwa Mobile Money au Bank (Visa/Mastercard).
Ingia kwenye mfumo wa mafunzo na community group.
Mafunzo huanza mara moja, kuelekea uhuru wa Kifedha.
Malipo hufanywa kila mwezi kupitia njia mbalimbali ikiwemo Mobile Money (M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, nk.) au kwa kutumia kadi za benki (Visa/Mastercard) kupitia mfumo wetu salama wa malipo. Maelezo kamili yanapatikana baada ya kuchagua package yako.
Ufikiaji wa mafunzo yote na kujiunga na jamii hupewa **mara moja** (instantly) baada ya malipo yako kuthibitishwa. Utapokea barua pepe yenye maelezo ya kuingia na viungo vya kuanza.
Ndiyo, tunaelewa kuwa mahitaji ya biashara yanabadilika. Unaweza **kuboresha (upgrade)** hadi package ya juu wakati wowote au **kushusha (downgrade)** hadi package ya chini mwishoni mwa mzunguko wako wa sasa wa malipo.
Unaweza kughairi uanachama wako wakati wowote, na hutaongeza malipo kwa mzunguko unaofuata. Hata hivyo, hatutoi marejesho ya pesa kwa kipindi ambacho tayari umelipia.